Isaiah 27:1
Wokovu Kwa Ajili Ya Israeli
1 aKatika siku ile, Bwana ataadhibu kwa upanga wake,upanga wake mkali, mkubwa na wenye nguvu,
ataadhibu Lewiathani ▼
▼ Lewiathani ni mnyama mkubwa wa baharini mwenye magamba anayefanana na joka kubwa, mwenye umbo la kutisha, asiyeweza kuvuliwa.
yule nyoka apitaye kwa mwendo laini,Lewiathani yule nyoka mwenye kujipinda;
atamuua joka huyo mkubwa sana wa baharini.
Copyright information for
SwhKC